Zaidi ya asilimia 70 wafanyakazi Muhimbili ni wanawake

Zaidi ya asilimia 70 ya wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili ni wanawake, hatua inayodhihirisha nafasi kubwa waliyonayo katika utoaji wa huduma za afya nchini.