Maridhiano yatajwa kichaka kukwamisha Katiba Mpya

Siku moja baada ya Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Juma Homera kusema kukamilika kwa ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa vurugu za Oktoba 29, 2025 pamoja na maridhiano ya kitaifa kutafungua rasmi mchakato wa Katiba Mpya, wadau wa sheria wameibuka na maoni tofauti kuhusu mwelekeo huo.