Serikali yaahidi unafuu wa kodi kwa wenye viwanda bajeti ijayo
Serikali imeahidi kuwa katika bajeti ya mwaka huu itazifanyia kazi changamoto za kikodi zinazolalamikiwa na wafanyabiashara na wenye viwanda kama mkakati wa kuendelea kuvutia uwekezaji wa ndani na kutoka nje ya nchi.