Wanafunzi watatu wafa kwa radi Dar

DAR ES SALAAM; Wanafunzi watatu wa Shule ya Msingi Msongola wilayani Ilala, Dar es Salaam wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi, huku wengine wawili wakijeruhiwa. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro amesema tukio hilo lilitokea Machi 18, 2026 majira ya saa 5:00 asubuhi katika eneo la Msongola. Amesema … The post Wanafunzi watatu wafa kwa radi Dar first appeared on HabariLeo .