LINDI: SERIKALI imezindua Jukwaa la Majadiliano ya Biashara kwa Biashara (B2B) likiwa na lengo la kuchochea uwekezaji, kuongeza thamani ya rasilimali za misitu na kuimarisha uhifadhi nchini, huku ikisisitiza kuwa misitu ni msingi wa maisha na uchumi endelevu. Uzinduzi huo umefanyika Machi 18, 2026 katika Uwanja wa Ilulu, Manispaa ya Lindi, ukiwa sehemu ya maadhimisho … The post Serikali yazindua jukwaa la B2B Lindi first appeared on HabariLeo .