LINDI: SERIKALI za vijiji vya halmashauri ya Wilaya ya Mtama mkoani Lindi zimepatiwa misaada ya vifaa vya ujenzi wa miundombinu ya shule, zahanati na kituo cha polisi ambao umegharimu zaidi ya Sh milioni 54 kupitia Shamba la Miti la Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) lililopo Rondo. Ofisa Mhifadhi Mwandamizi wa TFS wa Shamba … The post Huduma za kijamii zaboreshwa Mtama first appeared on HabariLeo .