SOUWASA yaadhimisha wiki ya maji kwa kupanda miti 500 Luhira

‎Maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani yakiwa na kauli mbiu ya  “Maji na Jinsia” jamii imehamasishwa kushiriki kikamilifu katika uhifadhi wa rasilimali maji na mazingira. ‎ ‎Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Songea (SOUWASA) imefanya shughuli mbalimbali za uelimishaji kwa wananchi kuhusu uhifadhi wa vyanzo vya maji, Katika kuadhimisha wiki hiyo, jumla ya …