Wananchi wa Kata ya Chanjale wamepata faraja baada ya kukamilika kwa ujenzi wa kituo cha afya cha Chanjale, mradi uliogharimu zaidi ya shilingi milioni 600 unaolenga kusogeza huduma za afya karibu na wananchi na kupunguza changamoto za usafiri kwenda kupata matibabu nje ya kata. Uzinduzi wa kituo hicho umefanywa na Mbunge wa Jimbo la …