Wamiliki wa leseni za madini wafundwa, Tume yasisitiza utekelezaji wa sheria

Serikali kupitia Tume ya Madini imeendelea kusisitiza utekelezaji wa sheria na kanuni katika sekta ya madini, ikiwataka wamiliki wa leseni kuhakikisha shughuli za uchimbaji zinawanufaisha watanzania na kulinda maslahi ya taifa. Akizungumza jijini Dodoma kwenye kikao cha wamiliki wa leseni, Kamishna wa Tume ya Madini, Mhandisi Theonestina Mwasha, amesema kipaumbele cha Serikali ni kuwawezesha wamiliki …