Pengo makeke afanya vituko studio shuhudia video hii

Pengo Makeke alifika katika Studio za BongoFive na kufanya mashambukizi mengi ya kuvunja mbavu Kufahamu mengi yanayomhusu Penho Makeke Usikose kutazama Before The Fame leo saa 2:00 Usiku kupitia akaunti yetu ya YouTube – BongoFive