ARUSHA: Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amewataka wakurugenzi wa bodi na watendaji wakuu wa kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache kuachana na usimamizi wa kawaida na kuelekea kwenye uongozi wa kimkakati unaotazama mbele. Akizungumza katika Mkutano wa Wakurugenzi wa Kampuni zenye hisa chache za Serikali (MIF 2026) unaofanyika kwa siku tatu jijini Arusha … The post Mchechu azibana bodi ataka uongozi kimkakati first appeared on HabariLeo .