Pengo Makeke amjia juu Dude atoa ya Moyoni kisa maudhui

@pengo_makeke kupitia Podcast ya #B4TheFame ameelezea kuhusu kuonekana ameiga maudhui yoye kama alivyokua anafanya Dude @el_mando_tz amepiga stori nyingi na @pengo_makeke kuhusu maisha yake pamoja na vyote Navyovifanya na vipo Youztube – BongoFive