ARUSHA: Serikali imewataka wakurugenzi wa bodi za kampuni ambazo ina umiliki wa hisa chache kuhakikisha uwekezaji huo unaleta matokeo yanayopimika kwa taifa na wananchi. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Dk. Pius Chaya, wakati akifunga mkutano wa siku tatu wa wakurugenzi wa kampuni zenye hisa chache za … The post Serikali yataka tija kampuni zenye hisa chache first appeared on HabariLeo .