Kwahani FC mabingwa Masauni Cup

ZANZIBAR: Timu ya Kwahani FC imetwaa ubingwa wa Masauni Cup baada ya kuichapa Mwembeladu FC kwa changamoto ya mikwaju ya penati 1-0 baada ya sare ya bao 1-1 ndani ya dakika 90 na kujinyakulia kombe pamoja na kitita cha Sh milioni tano. Kwahani FC walitangulia kupata bao lililofungwa na Abdalla Himidi kabla ya dakika za … The post Kwahani FC mabingwa Masauni Cup first appeared on HabariLeo .