VETA, vituo vya malezi kushirikiana kutoa ujuzi

DODOMA: MKURUGENZI wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore amesema mamlaka itaendelea kushirikiana na vituo vya malezi ya watoto ili kuhakikisha vijana wanapata ujuzi utakaowawezesha kujitegemea na kuchangia maendeleo ya taifa. Akizungumza wakati wa kuwafuturisha watoto kutoka kwenye vituo viwili vya malezi ya watoto vya jijini Dodoma, Kasore alisema ushirikiano … The post VETA, vituo vya malezi kushirikiana kutoa ujuzi first appeared on HabariLeo .