TAKUKURU MORO YAWAKUTANISHA PAMOJA WADAU KUKUZA UMOJA KATIKA JAMII

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Morogoro imeandaa futari maalum iliyowakutanisha wadau mbalimbali wa mkoa huo, kwa lengo la kuimarisha mshikamano na kukuza umoja wa kiimani miongoni mwa jamii. Akizungumza katika hafla hiyo, Mwakasege amesema kuwa TAKUKURU imekuwa ikiendelea kutoa misaada mbalimbali kwa jamii, ikiwa ni sehemu ya uwajibikaji wake kwa […] The post TAKUKURU MORO YAWAKUTANISHA PAMOJA WADAU KUKUZA UMOJA KATIKA JAMII appeared first on Jambo TV Online .