Wanawake wahimizwa kuchangamkia fursa sekta ya usuluhishi
Wakati sekta ya Utatuzi wa Migogoro kwa Njia Mbadala (ADR) ikiendelea kukua kwa kasi duniani ikiwemo Tanzania, wadau wamewataka wanawake kujitokeza na kuchangamkia fursa hiyo kwani bado inatawaliwa zaidi na wanaume.