Katika juhudi za kuchochea ubunifu, utafiti na uthubutu miongoni mwa vijana, sambamba na kuimarisha elimu ya fedha na ujasiriamali wa vitendo katika shule za sekondari, wanafunzi kutoka shule mbalimbali nchini wamezawadiwa fedha taslimu baada ya kuibuka washindi wa mashindano ya kitaifa.