Kamati ya kudumu ya Bunge Maji na Mazingira yaridhishwa maendeleo bwawa la Kidunda

Kamati ya kudumu ya Bunge Maji na Mazingira imepongeza hatua ya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuidhinisha Shilingi bilioni 335 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro, hatua itakayosaidia kuimarisha upatikanaji wa maji kwa muda mrefu. Taarifa ya Ignas Kabirigi kutoka Morogoro inafafanua zaidi Kamati hiyo …