Maisha ya kutafuta mafanikio kupitia michezo ya kubashiri ni safari yenye milima na mabonde, na wengi huishia kuumia mioyo yao kila kukicha. Mimi naitwa Amos, na kwa muda mrefu nilikuwa mmoja wa vijana waliokuwa wakipoteza kila senti waliyoipata kwenye vibanda vya betting. Nilikuwa nafanya kazi ya kusukuma mkokoteni sokoni, na kila shilingi mbili niliyopata, niliipeleka […] The post Mkeka wa ajabu uliomfanya ‘kapuku’ kuwa bilionea ndani ya usiku mmoja! appeared first on Jambo TV Online .