Wadau waona fursa mpya utekelezaji mapendekezo ya tume ya kodi

Siku moja baada ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi kuwasilisha mapendekezo 284 mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan, wadau wamesema kuwa, ikiwa kilichosemwa kitatekelezwa kikamilifu, mageuzi makubwa yatashuhudiwa.