UTPC yavutiwa na utulivu, umoja na mshikamano wa DAR-PC

* Yasema ni mfano bora kuigwa na Klabu zingine * Waandishi wapya zaidi ya 60 wajiunga, 20 wasubiri uhakiki Hali ya utulivu, umoja na mshikamano ndani ya Klabu ya Waandishi wa Dar es Salaam (DAR-PC), umeuvutia Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari Tanzania UTPC) na kupongeza. Kwa mara ya kwanza, tangu uongozi mpya ulipoingia …