Askofu Shoo apendekeza neno haki liwekwe kwenye wimbo wa Taifa

Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Frederick Shoo amependekeza neno “haki” liingizwe katika wimbo wa Taifa ili kusisitiza umuhimu wa kutekeleza haki, amani na maendeleo endelevu nchini.