Katika hatua inayotarajiwa kubadili mwelekeo wa ubora wa elimu nchini, Serikali inatarajia kuanza kuwapanga walimu wapya kulingana na viwango vyao vya elimu huku walimu wanaohitimu stashahada (diploma) wakielekezwa moja kwa moja kufundisha katika shule za msingi.