MAKAMU wa Rais, Emmanuel Nchimbi amesema sekta ya misitu ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa nchi, akibainisha kuwa sekta hiyo inachangia takribani asilimia 20 ya Pato la Taifa. Dk Nchimbi alitoa kauli hiyo wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani pamoja na kampeni ya kitaifa ya upandaji miti iliyofanyika katika Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi. The post Dk Nchimbi: Misitu ni muhimu kukuza uchumi first appeared on HabariLeo .