TANZANIA KUIMARISHA UZALISHAJI NA USAMBAZAJI UMEME KUKIDHI MAHITAJI YA UCHUMI

New Delhi, India Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Felchesmi Mramba, ameieleza Jumuiya ya kimataifa kuwa Tanzania inaendelea kuchukua hatua za kimkakati kuimarisha uzalishaji, usafirishaji na usimamizi wa umeme ili kukidhi mahitaji ya uchumi unaokua kwa kasi. Amesema hayo katika mkutano wa Bharat Electricity Summit 2026 unaofanyika nchini […] The post TANZANIA KUIMARISHA UZALISHAJI NA USAMBAZAJI UMEME KUKIDHI MAHITAJI YA UCHUMI appeared first on Jambo TV Online .