Polisi yajipanga Sikukuu Eid Fitri

JESHI la Polisi limesema limejipanga kuimarisha hali ya usalama wakati wa maadhimisho ya Eid al-Fitr nchini. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, amesema hali ya usalama nchini ni shwari na maandalizi yamekamilika kuhakikisha wananchi wanasherehekea sikukuu hiyo kwa amani na utulivu. The post Polisi yajipanga Sikukuu Eid Fitri first appeared on HabariLeo .