Katika hatua inayolenga kuleta mapinduzi ya huduma za afya zinazozingatia faragha na heshima ya mgonjwa, Waislamu wa dhehebu la Ansar Sunnah mkoani Pwani wametangaza mpango wa kujenga hospitali ya kisasa itakayotoa huduma kwa kuzingatia jinsia ya mgonjwa.