Watoto milioni moja kupatiwa chanjo ya polio Geita

JUMLA ya watoto 1,114,918 wenye umri chini ya miaka 10 wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya matone ya polio mkoani Geita kupitia awamu ya kwanza ya utekelezaji wa kampeni ya chanjo hiyo. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita, Dk Omary Sukari ametoa taarifa hiyo hiyo katika hafla ya kutambulisha kampeni hiyo na kueleza awamu hiyo ya kwanza … The post Watoto milioni moja kupatiwa chanjo ya polio Geita first appeared on HabariLeo .