Kifo cha Jaji mstaafu Julie Manning kimetamatisha safari ya maisha ya mwanamke huyo aliyeacha alama ya kipekee katika tasnia ya sheria nchini na ukanda wa Afrika Mashariki, akitambulika kama miongoni mwa waanzilishi wa mafanikio ya wanawake katika taaluma hiyo.