RC Mtaka atembelea TSN, ataja mikakati mipya

DAR ES SALAAM; Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, ametembelea Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) jijini Dar es Salaam kujadili ushirikiano wa kimawasiliano kuelekea Mei Mosi 2026. Ziara hiyo inalenga kutumia vyombo vya habari kufikisha kwa umma fursa za kiuchumi zilizopo Njombe, hususan katika sekta za uchumi wa kijani kama parachichi, chai na … The post RC Mtaka atembelea TSN, ataja mikakati mipya first appeared on HabariLeo .