Zaidi ya hekta 400,000 za misitu hupotea kila mwaka

Wakati Tanzania ikielekea kuadhimisha Siku ya Misitu Duniani inayofanyika kila ifikapo Machi 21 kila mwaka imebainishwa ukanda wa Tanzania bara zaidi ya hekta 400,000 za misitu hupotea kutokana na uharibifu wa mazingira ikiwamo ya ukataji miti hovyo.