Tanzania imewezesha miamala ya biashara yenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 200 kati ya wafanyabiashara wa Tanzania na wenzao wa China katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, hatua inayoonesha mchango wake katika kukuza biashara ya kimataifa na uwekezaji nje ya nchi. Akizungumza jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Mkuu wa Idara ya Biashara, Benki …