Waislamu watakiwa kudumisha utamaduni wa kutenda mema

Waumini wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuendelea kumfanya Mwenyezi Mungu kuwa kimbilio lao kwenye maisha kwa kudumisha matendo mema kama ilivyokuwa wakati wa Ramadhani, ili awajalie kufanikiwa katika haja zao ambazo walimuomba.