Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Serengeti kimetuma salamu za pongezi kwa waumini wa Dini ya Kiislamu nchini kufuatia kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, kikieleza kuwa kipindi hicho ni msingi muhimu wa kujenga jamii bora.