Rais Mwinyi awataka wananchi kuendeleza maadili ya swaumu
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema wametekeleza ibada ya swaumu katika hali ya amani na utulivu, hivyo kuwataka wananchi kuendelea kudumisha mshikamano na kuleta umoja kwa maslahi ya Taifa hilo.