Waumini wa dini ya Kiislamu wamehimizwa kuendeleza amali njema walizokuwa wakizifanya katika mwezi mtukufu wa Ramadhan ili kustahili malipo mema Akhera.