Alhaj Mavumbi akemea ukatili kwa watoto ataka wananchi kuchukua hatua
Waumini wa Dini ya Kiislamu mkoani Tabora wametakiwa kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia ili kuwapa fursa ya kufikia ndoto zao na kuishi katika mazingira salama.