Waislamu nchini watakiwa kulinda amani, kuepuka matamanio

Waislamu nchini wametakiwa kudumisha amani na utulivu huku wakisisitizwa kujiepusha na tabia ya kuchanganya masuala ya dini na matamanio yao binafsi.