Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini China yenye lengo la kuhamasisha uwekezaji katika sekta za viwanda na biashara nchini.