Mwenyekiti UWT Simiyu afariki dunia

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa CCM Mkoa wa Simiyu, Lumen Ngunda, marehemu amefariki dunia akiwa jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.