Rais Samia amesema Serikali inatambua na kuheshimu haki ya msingi ya uhuru wa kuabudu, lakini akaonya kuwa uhuru huo unapaswa kutumika kwa kuwajibika.