Mshambuliaji Clement Mzize wa Yanga SC ameboreshewa mkataba wake ambapo mshahara wake inatajwa itakuwa ni milioni 40 kwa mwezi akiwa mchezaji mzawa namba mbili kukunja mshahara mrefu. Namba moja ni Feisal Salum wa Azam FC ambaye inaelezwa kuwa anakunja milioni 50 kwa mwezi. Agosti 27 2025 Yanga SC wametangaza rasmi kuongeza mkataba na mshambuliaji huyo […]