MTU mwenye mawazo, ni yule ambaye muda wote anayatazama mambo kwa ubaya, analalamika, analaumu wengine, anapenda kuwashambulia wengine kwa kauli za kuudhi na zisizo za kiungwana na muda wote anaamini kwamba yeye hakosei. Mtu wa namna hii, mara nyingi huwapa wakati mgumu sana watu wanaomzunguka na mara nyingi hawezi kuwa na marafiki, na hata akiwa […]