Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos, Nigeria, imemhukumu mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya ₦450,000 (sawa na zaidi ya Shilingi 730,000 za Kitanzania), baada ya kupatikana na hatia ya kupokea fedha kwa udanganyifu. Kwa mujibu wa kumbukumbu za Mahakama, Jennifer alipokea ₦30,000 (takribani Shilingi 490,000 za Kitanzania) kutoka kwa kijana aitwaye Emmanuel, aliyedai […]