WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watunza kumbukumbu wote nchini kuzingatia maadili ya kazi, kudumisha uadilifu na kulinda usiri wa taarifa zote zinazohifadhiwa kwani taarifa hizo ni nyenzo muhimu ya usalama wa Taifa na maendeleo ya nchi. Amesema kuwa Chama Cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) kinabeba dhamana kubwa ya kuhakikisha nyaraka […]