RECAP: Master Jay kumkataa S2kizzy ni chuki au kweli ni Beatmaker sio Producer – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha @recap_mando @el_mando_tz amezungumzia mjadala aliouanzisha Master Jay kwa kusema kuwa alimwambia S2kizzy kuwa sio Producer bali ni HeatMaker. @el_mando_tz ameeleza kushangazwa na kauli ya Master Jay kuwa S2kizzy ni HeatMaker na sio Producer. Ametufafanulia kiundani tofauti kati ya HeatMaker na Producer halafu akahoji kupitia hizo sababu S2kizzy ni Producer au …