RECAP: S2kizzy Sio Producer bora wa muda wote?? – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha @recap_mando @el_mando_tz amezungumzia kauli za S2kizzy kuniita Producer Bora wa muda wote. El mando ametoa mtazamo wake wa ili Producer aitwe GOAT anatakiwa kukifanyia nini Kiwanda kwa ujumla, amehoji kwanini S2kizzy anajiita hivo?? Kwa sababu amefanya wimbo umefika GRAMMY au kwa sababu nyimbo alizotengeneza Zina Viewers wengi zaidi?? Uchambuzi mzima …