Nabii Malisa Kijana Mwenye Maono Arejesha Fomu Akiwania Jimbo la Kawe

Kijana mwenye maono kama anavyoitwa na wengi, Nabii Simeon Malisa ambaye alichukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya Chama cha NCCR Mageuzi katika Uchaguzi Mkuu ujao unatarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu jana ameirudisha rasmi tayari kwa kuwania nafasi hiyo. Akizungumza na mwanahabari wetu Malisa amesema tarehe rasmi ya kampeni ilikuwa […]