RECAP: Alikiba anafanya kazi Simba Professional hana Uchawa – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha @recap_mando@el_mando_tz amezungumzia na kusema kuwa anavutia sana na namna Alikiba anavyofanya kazi na klabu ya Simba. Anasema Alikiba anaonekana kwenyw matukio machache yenye umuhimu haonekani kwenyw matukio mengi kama wasanii wengine. Anasema inawezekana kwa sababu haonyeshi uchawa bali anafanya kazi yake vizuri. Anasema Katika kitu anatamani kuona wasanii wengine wanaiga …